mkuu hiyo kama unataka ku-unlock ni sh 10,000 inachukua dakika kumi tuu, hapo inahitaji unlock codes, kama unahitaji ni-pmMkuu!! Naomba msaada Wa jinsi ya kuunlock vf685 itumie line zote
mkuu hiyo kama unataka ku-unlock ni sh 10,000 inachukua dakika kumi tuu, hapo inahitaji unlock codes, kama unahitaji ni-pm.
Mkuu mimi pia nina shida ya ku unlock iPhone 6 nahitaji huo msaada
je hiyo i phone 6 unataka ku unlock ili iingize line zaidi ya moja au ina i cloud.. kama ni i cloud hapo ni utata