Mr Adam Gella
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,327
- 660
Habari za kazi wakuu
Nitumie Umeme wa Solar au wa Jenereta??
Samahanini naomba ushauri juu ya mada tajwa hapo juu ;
Kama ni SOLAR;
Vipi gharama yake ipoje hadi ufungaji wake
NB; Nahitaji kwa ajili ya matumizi ya kawaida tu kwa chumba kimoja tu!! Kipindi ntakapokua nafanya kazi kijijini mfanomwanga usiku, Radio, Kuchaji vitendea kazi simu, Laptop...
Je ni kweli umeme wa solar huaribu mabetri mfano ya simu na laptop?? Nimekua nasikia hivyo, naomba kufahamishwa zaidi juu ya hilo
GENERETA;
Naomba msaada wenu kufahamu ni Aina ipi nzuri za Majenereta yenye ubora unaokidhi Kuzalisha umeme wa kawaida tu na Bei zake, Ulaji wake wa mafuta...n.k
Nb: Nahitaji yale madogo tu yenye nguvu ITAKAYOFAA KUZALISHA UMEME KWA AJILI YA ROOM MOJA TU KWA MATUMIZI YA KAWAIDA KAMA MWANGA USIKU,Radio,KUCHAJIA SIMU na LAPTOP pindi nitakapokua kijijini nafanya kazi kwa kipindi hiki.
Kipi kitanifaa SOLAR AU JENERETA??
Natanguliza shukrani zangu kwenu