Msaada juu ya upangaji wa kwenda a-level

LOMP

JF-Expert Member
Sep 12, 2013
215
21
salam ziwafikie wote popote mlipo. nina dogo kapata dvn iv ya 33 ila ana "c".je ataweza kuchaguliwa kujiunga na a-level?
 
salam ziwafikie wote popote mlipo. nina dogo kapata dvn iv ya 33 ila ana "c".je ataweza kuchaguliwa kujiunga na a-level?

Mdau possibility ni ndogo sana,serikal itakuja na utaratibu mpya kabisa,kuna uwezekano hata wa III ya 29 asiende advance,subiri tu wakat wa selection wataweka wazi
 
Back
Top Bottom