Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa ni fursa kubwa kiuchumi

munroe

Senior Member
Apr 3, 2019
101
68
Ng'ombe wa maziwa ni miongini mwa miradi bora saana ambayo ikisimamiwa na kuendeshwa kisasa inatija kubwa na inaweza kukunufaisha na kukukwamua kiuchumi.

Njoo tukuuzie ng'ombe bora wanastahimili mazingira tofauti kwa mikoa yote Tanzania bila kuteteleka kiafya na kiuzalishaji

Njoo ujifunze na ujue namna gani ya kuanza au kuendelea shamba la ng'ombe wa maziwa kiutaalam

Tunao ng'ombe bora aina ya (Holstein, American ) freisian, aryshire, redpoll, semmental, jersey, brown swiss etc.

Aina izo wapo pure breed na cross breed wazuri wenye izarishaji usio na mashaka

Karibu tupo RUNGWE MKOANI MBEYA barabara inayoelekea malawi kilomita 70 toka Mbeya mjini.

Tutafute kwa namba 0756416149
namba hiyo pia ipo WhatsApp kama utahitaji picha na video za ng'ombe tulionao.
IMG_20240216_134911_633.jpg
IMG_20240216_134930_299.jpg
IMG_20240216_134936_242.jpg
IMG_20240216_134921_501.jpg
IMG_20240216_134900_846.jpg
 

Attachments

  • fb9a454c550b4fe0b3a8b487e4dfc951.mp4
    3.2 MB
Unanunua ng'ombe milion 3+ unamsafirisha mpaka afike kwako mara anakaa muda kaugua sijui kifaduro kaenda unakuja kuuza mzoga kwa laki 3.

Ni mradi mzuri ukitiki ila kwangu I cant afford the risks
Hawa wakwetu wanastahimili mazingira mkuu kwa maeneo yenye joto kali usianze na pure breed anza na Cross breed
Pia aryshire ndio wanastahimili zaidi, bila shida unaweza kaa na ng'ombe zaidi ya miaka kumi kama umechukua mtamba
 

Hawa mifugo wanapendelea zaidi kukaa katika hali gani? Maana kuna watu wananishangaza, wanafuga Ng'ombe Dar, hali ya hewa yenyewe binadamu ni lazima awe na AC, chakula ndio sijui wanawapa maandazi na bagia?
Wadau wa dar ndio wanaonunua ng'ombe saana toka uku, unaweza anza na ng'ombe wako wawili tu unawapa supplement ya vyakula ya kutosha kama pumba,mashudu yenye mchanganyo mzuri pamoja na madini utalisha majan kdogo saana pia atazarisha maziwa mengi na soko lipo vizuri kwa siku unauhakika wa lita kuanzia 40+ bila shaka ni mradi mzuri tu
 
Maziwa ya ng ombe ni Kwa ajili ya mtoto wa Ng ombe. Mbona wanadamu hawana huruma Kwa watoto
Hahaha mkuu matumizi ya ndama sio zaidi ya lita 7 hadi 10 kwa siku sasa ng'ombe wanauwezo hata wa kufika 30+ binadamu anatumia surplus
 
Wadau wa dar ndio wanaonunua ng'ombe saana toka uku, unaweza anza na ng'ombe wako wawili tu unawapa supplement ya vyakula ya kutosha kama pumba,mashudu yenye mchanganyo mzuri pamoja na madini utalisha majan kdogo saana pia atazarisha maziwa mengi na soko lipo vizuri kwa siku unauhakika wa lita kuanzia 40+ bila shaka ni mradi mzuri tu
Tupe Bei Mkuu
 
Tupigie 0756416149
 
Back
Top Bottom