Msaada: Jinsi ya kuweka umeme kwa kutumia luku ya jirani

Tunaomba namba yako ya mita unayodai ipo tarif isiyosahihi tukujibu kwa data
54150394051...hiyo ni moja tuu...kama system yenu ni ya ukweli inapanga....basi wengi mnawaibia...wacheni hayo mambo...tunawalipa ili mtusaidie hizo ni ofisi zetu wote.
Harafu utoe majibu ni miaka mingapi system imeshindwa kurudisha wateja kwenye huduma sahihi.
 
Hii mita ipo kundi sahihi mzee wa Tanga bali ina deni la Tsh 2,700,000/ lililotoka kwenda ya zamani
 
Hii mita ipo kundi sahihi mzee wa Tanga bali ina deni la Tsh 2,700,000/ lililotoka kwenda ya zamani
Huogopi kumdanganya boss wako...?
Unaweza ukawa na deni lote hilo kisha ukawa unapata huduma...?
Tena unazidi kunidanganye eti ipo kwenye kundi sahihi...inamaana natumia zaidi ya unit 72 kwa mwezi....?

Kuwa mnyenyekevu kwa bosi wako japo kidogo
 
Mpendwa.mteja wetu wa Mkoa wa Tanga tumeona taarifa zako tunashukuru kwa ushirikiano wako
 
Hivi nyinyi watu mnatatizo Gani Na huku kwetu kibangu mnakata umeme kila siku asubuhi mpaka jioni tena Bila taarifa yoyote kwanini msituambie kama mmeanza mgao wao umeme mbaya zaidi mnakata mpaka usiku Na joto hili la Sasa hivi kuweni Na adabu aseh msitufanye tukawareport kwa magufuli
hama huko msituni, viumeme vyako vya lea vinakusavabisha ulete lugha chafu hapa??
 
Mpendwa.mteja wetu wa Mkoa wa Tanga tumeona taarifa zako tunashukuru kwa ushirikiano wako
Haya wekeni utaratibu sahihi ni dhambi kuiba mali ya watoa kodi...mwambie boss wako kuwa mimi boss wake namuhitaji arekebishe huduma wanaopaswa kuwa kwenye tarif d1 wawe huko na wanaopaswa kuwa kwenye t1 warudishe kwa haki...na kama wateja hawajui muwaelekeze ili wawe kwenye tarif sahihi wote tuna haki ya kula keki ya taifa pamoja...waoneeni huruma ndugu zetu wasio na uwezo mtu ana vyumba viwili bado mnamnyonya kwenye umeme...harafu mnatudanganya kuwa system inachagu.
 
hama huko msituni, viumeme vyako vya lea vinakusavabisha ulete lugha chafu hapa??
Kwani wanatumia umeme wa Lea umewashinda kitu Gani labda?

Kwa iyo kulalamika tanesco wanakata umeme wewe imekukera sana?

Aya Sasa wacha tuendelee lala Giza yamkini kuna faida unapata sisi tukilala giza
 
Asante ndugu mteja.

Kununua mara kwanza unanunua ofisi ya Tanesco iliopo karibu na wewe. Kwq mara ya kwanza unatakiwa kulipia kiasi kuanzia shilingi 18,000 kwa sababu unapofungiwa umeme unakuja na unit 50.

Ingawa kuna baadhi ya mita zinakuja na unit 10 hivyo basi baada ya kununua umeme ofisi ya Tanesco utatakiwa kufika pia ofisi ya Mhasibu kwa ajili ya kupatiwa unit zako ambazo umelipia (unit 40).

Ndugu mteja kumbuka huduma hio yote hapo juu ni BUREEEE!! hakuna gharama ya usajili wa mita
mimi nipo goba ofisi za tanesco zinapatikana wapi? nna tatizo kama hili.
 
fika mbezi beach kuna ofisi ya TANESCO ndugu mteja
54183670543 nimennua luku tayar but hamjanipa hizo 40 unit kama mlivosema em naomba msaada maana nshachoka hata kwenda huko tanesco kila siku.
 
Back
Top Bottom