Msaada:jinsi ya kuwa mpelelezi wa taifa

ni nao sana na ninajua mambo mengi sana hata wewe huyajui huku 2naish na vgogo kbao,na hata hvyo jina langu kamili hamlijui so dat ipo shwari 2 na utaratbu wa kuwa SPY c hvyo mnavyodhania it's so easy c kupitia katka jesh wala upolisi ni uwezo wako 2 ulionao na uadilifu wako katka nchi yako ya Tanzania,na studentz hu2miwa zaid kuweza kupeleleza katka mashule mbalimbali na kujua knachoendelea katka xcul hyo ambayo serikali imetilia shaka na knachotendeka xcul hapo,ha ha ha ha ha ha ha ha ni hayo 2 wana Jf.

hebu nipe maujanja basi na mimi niingie huku ni pm mkuu nahitaji kuingia huko!
 
hebu nipe maujanja basi na mimi niingie huku ni pm mkuu nahitaji kuingia huko!

Ukweli huchunguzwa kuanzia ngazi ya primary school hadi sec kwa nyendo zako IQ yako maisha ya familia nk ndipo wakikuafik unakuwa trained!
 
Back
Top Bottom