Msaada:Jinsi ya kupika mkate wa Mofa

Jamani anaejua kutengeneza mkate wa mofa msaada tafadhali.

Mkuu samahani kwanza nauliza huwo mofa uliona wapi au duka gani unakouzwa maana hata mimi nausikea tu kwenye vibaraza vya kahawa kama kuna mkate wa mofa basi
 
Back
Top Bottom