Kumbe Dkt. Tax aliomba mwenyewe atolewe Wizara ya Mambo ya Nje na arudishwe Wizara ya Ulinzi

Rais Samia amesema aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na kuhamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje baadae akimwambia Rais pale Ulinzi ndio panamfaa zaidi na Rais Samia akamkubalia na kumrudisha

Nafasi yake pale MoFA akapelekwa January Makamba

Mlale Unono 😄

Sio mbaya
 
Wale wakina black mamba wakina John buttler Walden walikuwa nani
Tena hao walikuwa wazalendo kuliko hata nyieee mnaojiita wazawa

Ova
Wale walikuwa wa ukweli hawa wa sasa hivi uzalendo wao ni ukada wa CCM tu si zaidi ya hapo
 
Wale walikuwa wa ukweli hawa wa sasa hivi uzalendo wao ni ukada wa CCM tu si zaidi ya hapo
Tax na familia wao ni wa kitambo tu mbona
Miaka ya nyuma warangirangi wengi walikuwa kwenye majeshi huko
Na nyerere aliwaamini kweli kweli

Miaka ya 90 huko mkuu wa police traffic alikuwa mhindi ghoa smbdy divaz

Warangirangi siku zote wanakuwa watu wa msimamo wanajitambuaa

Ova
 
Mshakji wangu muhindi wa iringa,tumesoma nae give school na ameenda JKT ila kujiunga na polisi alikataliwa kisa uhindi wake.
Mbona miaka 90 mkuu wa polisi traffic alikuwa mhindi.

Mbona zamani miaka ya 60,70 majeshi yetu yalikuwa na wahindi.

Tena walienda kupikwa mpaka hko uingereza kwenye kile chuo maarufu cha kijeshi

Ova
 
Kweli binadamu hatufanani wengine wanaomba uhamisho wa wizara.

Wengine wanaomba uhamisho toka St. Kayumba moja hadi St. Kayumba nyingine.

Na kuna ambao wanahama tu magrupu ya wasap na vikundi vya vikoba.
 
Machotara wengi huwa wazalendo sana kwa nchi zao ni basi tu wana bahati mbaya ya kutoaminika. Kuna wakimbizi wa kutoka Rwanda na Burundi wanajiita wahaya, wasukuma na wanyambo hao sasa ndio wa kuwashughulikia.
Mbona tusiwashughulikie na wamasai ,wakulya na wameru ambao wanapatikana Kenya na Tanzania
 
Back
Top Bottom