Msaada jinsi ya kupata program hizi

<strong>
but men trust me making stuff like ds ain't no beach party. Blender haifiki level za Maya o 3D autodesk(ambazo ndo zaweza fanya hiyo kazi) but it ain't so bad now is it
 
Last edited by a moderator:
lakini all in all maya 3D ni noma na imeplay big role kutengeneza The adventure of tintin kama kuna mtu ambaye ashaiona utaelewa
 
<strong>
but men trust me making stuff like ds ain't no beach party. Blender haifiki level za Maya o 3D autodesk(ambazo ndo zaweza fanya hiyo kazi) but it ain't so bad now is it

Like it! Sasa mbona Wabongo hatuna katuni hata za kuringa nazo! Au lazima kila Mtu akasome Physics/math/englsh. Talentr baadae
 
Last edited by a moderator:
i dont think so kila mtu angekua tajiri duniani
Dreamworks watengenezaji wa shrek na kungfu panda wamepata mapato yafuatayo kwenye shrek 4 forever after

Mapato ni sh trilion 1
Bilion kama 250 zilitumika kuitengeneza na nyengine kama 300 zikatumika kuiprint na kuitangaza.

Sasa ingekua hizo software zinaweza dah nchi yetu wala isingetegemea msaada kwenye budget wana jf tungeilisha nchi kwa kutengeneza vikatun

Cartoon zote zinatumia software zao wenyewe ambazo wao hawazionesh ovyo ovyo kwa watu na zinakua sio comercial.
 
i beg 2 differ Chief, sema tatizo ni know how,time pamoja na hardware. ANIMATIONMENTOR.COM ni online animation school (wooo b4 any1 starts registering and stuff just remember unafanya kwanza qualifying test then unalipa kama 30000$ kama sijasahau) okay as i was sayin kwenye hii site waalimu ni hao jamaa wa disney na other PRO Animators na software inayo2mika i.e ambayo wanatoa kwa wanafunzi ambayo inaaminika na inayo2mika kwenye kazi zao ni well you guessed it none other than MAYA, ukishapata technical know how unaweza tengeneza anything sasa inakuja hardware, niliangalia the making of SHRECK jamaa m1 alisema kua hii muvi ukisema ui render kwenye computer ya ndani,ile fastest kabisa itakuchukua well about 2000years kukamilika. So mashine wanazo2mia ni xtrmly fast, massive outta d world processing power(thnx 2 the massive farms they hav) alafu kingine ni skilled people kuna wa2 wamebobea in special EFX,wengine modeling,animation etc so ili upate ki2 mwake utaweka wa2 wengi. Nd the project mwisho wa cku inachkua long time mbaya. So ukijumlisha hivo vi2 utaona well gharama kubwa sio kwamba hawa2mii hizi software. Software ni hizihizi but know how,hardware nd those kinda thing ndo tatizo.

Similar Discussions

Back
Top Bottom