Msaada: JINSI YA KUPATA PESA KWA MTANDAO (EARN MONEY ONLINE)

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
Habari wakuu! Najua mko poa na wale ambao hawako sawa kiafya u'll get well soon.
Tatizo langu ni kupenda kujua jinsi ya kupata pesa kupiti website yangu.I mean jinsi ya kuruhusu matangazo <banners> ntafurahi kama pia ntapata link ambazo naweza kujisajiri na kupata hayo.Nimejaribu google adsense naona inanikatalia. Nisaidieni wakuu
 
google adsense nowadays wanasupport only top level domains, inategemea una website ya aina gan. Si mzoefu sana wa advertise ya website za pc ila naweza kukushauri kama unataka eka matangazo tumia BIDVERTISER na kama ni simu waweza tumia mkhoj mojiva au mobgold
 
natumia pc,mkuu ngoja nijaribu hiyo bidvertiser
 
Back
Top Bottom