Msaada: Jinsi ya kupata mkopo.

speechless

Senior Member
Oct 1, 2013
101
26
Wakuu habari za pilika za kila siku? kichwa cha habari kinajieleza hapo juu. kwa yoyote anaeweza kunisaidia jinsi ya kupata mkopo kama milioni 20 kwa kuweka hati ya shamba la miti ya mbao lenye ukubwa wa heka tano. shamba lipo Mwanza nje ya mji. Kwa atakaekuwa tayari please unaweza kuni PM kwa maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom