Msaada jinsi ya kujitoa kupata mkopo toka loan board

NAAMINI

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
672
231
nimechoka kupata pesa za majungu kutoka loan board coz pesa zenyewe haziji kwa wakati maisha yanakuwa magumu....baada ya kupima vyote sasa sitaki mkopo tena na nataka kujitoa....naomba mnisaidie maelekezo
 
Mi sina huo mkopo , njoo nikuchoree ramani ili tubadilishane namie niionje hiyo hela ya HESLB
 
Unaandika barua mkuu kwenda bodi kuomba kujitoa maelezo yapo kwenye web yao
 
nimechoka kupata pesa za majungu kutoka loan board coz pesa zenyewe haziji kwa wakati maisha yanakuwa magumu....baada ya kupima vyote sasa sitaki mkopo tena na nataka kujitoa....naomba mnisaidie maelekezo

hii ni baada ya kumaliza chuo ama?mbona hukusema tangu first year?
 
Back
Top Bottom