Msaada: Jinsi ya kuandika barua ya kikazi

Kweli tuliosoma seminary tumegain vitu vingi sana,kuandika barua yenye Anuani mbili nilifundishwa form 1. U .F.S

hakuna ambaye hajafundishwa ila nikusahau tu! we umemaliza juzi kwenye BRN ndio mana bado unakumbuka, wengine tumemaliza kitambo.
 
Usijifanye kujuwajuwa wakati hujui kitu. hata wanaoomba viza za Marekani na Uingereza fomu wanajaziwa wakati wanao uwezo wa kujaza wenyewe.

Alichouliza kina msingi na hajakuomba wewe ndio umuandikie barua.

Ninakualika dinner yaani imenifurahishaje leo??
 
Usijifanye kujuwajuwa wakati hujui kitu. hata wanaoomba viza za Marekani na Uingereza fomu wanajaziwa wakati wanao uwezo wa kujaza wenyewe.

Alichouliza kina msingi na hajakuomba wewe ndio umuandikie barua.
Achana nae huyo! mpuuzi ........... binamu mzima ww?
 
Kumbuka ukiandika U.F.S au K.K kwa kiswahili, barua hiyo kabla haijafungwa inatakiwa uipeleke kwa huyo uliye mu U.F.S aipitishwe ndio uifunge na kuituma inakotakiwa. Ni angalizo tu nimekupa.

asante sana mkuu duet ubarikiwe sana, mi nilishazoea hizi za direct basi majanga snura kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Mashkhofu niko poa kabisa, hawahawa wanaoleta mbwembwe hapa ndio kila siku wanaisumbuwa serikali kubuni madaraja upya ili mradi wafaulishwe kilazima lakini wakija hapa ujuwaji mwingi.

nashukuru kusikia uko poa!", ......... hahahaha! kw hali hii mwakani wataongeza mpaka div 6!
 
Naomba kujuzwa jinsi ya kuandika barua ya kikazi inayopitia kwa watu wawili, mfano unataka kuandika barua iende kwa Managing Director lakini ipitie kwa Human Resources Officer

Nimeuliza watu tofauti tofauti kila mtu amenipa jibu lake hata sielewi ni lipi lipo sahihi.

mwingine kaniambia unaandika hivi

MANAGING DIRECTOR
T.I.B BANK
P.O.BOX 1207
DAR ES SALAAM

Cc. HUMAN RESOURCES OFFICER
T.I.B BANK
P.O.BOX 1207
DAR ES SALAAM

Dear sir/madam
REF: APPLICATION FOR.........

Na mwingine kaniambia yule barua inayopitia kwake jina lake linakua mwishoni, baada ya saini yako.
Mfano:

Yours Sincerely
GossipGirl
G.p.g
Cc. James R. Mahiri(Human Resources Officer)

NOTE: Nahitaji barua ipitie kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na siyo barua kwenda kwa wote wawili.


Barua tu inakushinda kuiandika je huo usaili utaweza ww??
 
Barua tu inakushinda kuiandika je huo usaili utaweza ww??

kuomba ushaur sio kwamba kila kitu sikijui; kunauwezekano najua vitu vingi kuliko hata ww, na hii ni faida pia kw watu wasiojua. halafu acha kukariri siyo kila anaetafuta kazi hana kazi.
 
Kuuliza si ujinga. Lakini na hili la anmwani.....? Hii ni dalili mbaya sana kwa wasomi wa kizazi kipya.
 
Ahahah ww matoka ndo hamna kitu kabisa sasa kujaza form na uandishi wa barua vina uhusiano gan eti.. Hivi kuna taasisi inafundisha jinsi ya kujaza taarifa za visa? lakini barua inafundishwa tangu primary hadi higher instit.... Si lazima kukosoa kila jambo.. Haya lala ukue tehhhhhhhhh

Inamaana katika maisha yako hujawai sahau kitu ????ingawa ulishafundishwa?
 
Back
Top Bottom