Mawaiba
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 417
- 150
Habari za weekend wakuu. Naomba maelekezo toka kwenu wana-JF. Natumia mobile phone, Nokia 2730, ambayo ina built-in browser; Opera Mini. In addition ninayo version nyingine inayoitwa Opera Mini Next. Naomba kama kuna anayejua jinsi ya ku-upload image files kwenye posts zetu tunazozirusha hapa janvini kupitia devices kama hii yangu anipe maelekezo. Thanks in advance, nice day 4 u..!