Msaada jinsi ya ku-retrieve Password ya Porn-Blocker au kuiondoa

kapotolo

JF-Expert Member
Sep 19, 2010
3,727
2,214
Wakuu nina Porn-Blocker ambayo ime-expire, sasa inablock hata programmes zangu za kawaida, nataka kuiunistall lakini nimesahau password, naomba msaada wa jinsi ya kuiondoa please kwa anaefahamu.
 
Fanya system restore to the date before you have installed hiyo porn blocker, tatizo pia itaondoa programme zote ulizozi install hapo katikati, japokuwa personal data hazitaathiriwa.
 
Hii ni njia ya kuremove kutoka kwenye system kabisa;
Press window key+R
Type cmd enter
type cd%programfiles% enter
type dir/p enter you should see the full name of what you want to remove
type rd /s "name of program" press enter when prompted with a y/n choose y and press enter

or
type cmd and enter
type wmic enter
type product where name="name of program to remove" uninstall enter
type Y and enter
 
Back
Top Bottom