Msaada: Jinsi ya ku hack simu ya mkononi

Unaweza kupata taarifa ya simu yeyote ulimwenguni.
Tahadhari kama ni ya mpenzi wako,utajisababishia matatizo bure.
Karibu PM
 
Attachments

  • spy.PNG
    spy.PNG
    59.7 KB · Views: 1,955
Wakuu kwa mwenye elimu juu ya hlo jambo naomb anijuze... Ahsante nawasilisha

Fuata Hizi hatua

Pakua hii app inaitwa tracker-free Hapa kwa kutumia simu ya unayetaka kupata taarifa zake halaf instal hiyo app kwenye simu yake

Baada ya istallation fungua hiyo app kisha fungua account kwa kuingiza jina la muhusika au jina la simu anayotumia, Email pamoja na Pass (nywila)

Baada ya kukamilisha hayo bofya kitufe cha hide icon na kuchagua kile unachokitaka ukipate mf, sms,call,whatsapp,emaill etc.

Baada ya hapo mrudishie muhusika simu yake.

Ingia tena Hii website kutumia simu yako au Pc nakushauri utumie Pc ni nzuri zaidi https://tracker-free.com Kisha Log in kwa kutumia Email na Nywila ulizotumia kwenye simu ya Muhusika kisha ita Conect yenyewe na hiyo simu,,..... Baada ya hapo utaona kila kitu kupitia hiyo acc yako...

Unaweza kufanya hivi vitu kupitia acc yako

==> Kulock simu ya muhusika na kui unlock
==> Kupiga alarm
===> Kuitumia Ujumbe
===> Ku lock apps / website zilizoko kwenye hiyo simu
na mengine mengi.......

Pia ikumbukwe kuwa unaweza itumia hata kwa kuilinda simu yako mwenyewe na kukusaidia ikiibiwa kuipata kirahisi au kuzuia kuvuja kwa vitu vilivyopo kwenye simu yako.

NB: Nikosa ku Hack au kuchunguza vitu ndani ya simu ya mtu bila idhini yake.....
 
Asante sana mkuu ngoja nijaribu ku install hiyo program kwenye simu yangu nione kama nitaweza kui-monitor kupitia laptop yangu maana huwa ninahifadhi na kufanyia kazi data za ofisini sasa siku ikiibiwa au kupotea ni majanga
 
Back
Top Bottom