Msaada:je kuna tatizo kuacha chuo na kuhamia kingine?

Sultan Kipingo

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
236
175
WAKUU
Nili'apply vyuo viwili tofauti. Cha kwanza kinaanza masomo mwezi huu wa 4 na kingine kitaanza mwezi wa kumi. Hiki cha kwanza kimeshatoa selection na nimechaguliwa Lakini hicho kingine bado.

SWALI:
Sasa nikianza kusoma kwenye hiki chuo cha kwanza baadae nikichaguliwa kwenye hiko chuo kingine.
Je kuna tatizo ikiwa nitaacha hiki cha kwanza na kwenda kujiunga na hicho kingine?

Anaefahamu anisaidie nisije nikapata matatizo baadae halafu nikakosa vyote.
 
Back
Top Bottom