Mwezi huu nasikia mkuuPDF kimya sijui mkuu wa magereza amehama
Naskia eti Washamaliza mchakato mda wowote na siku yeyote kwanzia sasaDahh ata ktk account zao naona wapo kimya Hawa jamaa cjui kwa nn
Majina yametoka watu 82Naskia eti Washamaliza mchakato mda wowote na siku yeyote kwanzia sasa
Ndio . madereva wa trekta hao .Majina yametoka watu 82
Madereva haoKuna vijana wameitwa ktk usaili huko magereza
Ohoo mademu nao madereva wa trektaNdio . madereva wa trekta hao .
Sisi wengine tusiokuwa na fani tupo tupo tu mchakato ushaisha tusubiri pdf
Bado hawjapata ukisoma vzr barua chini imeandikwa kwa niaba ya kamishna mkuu wa magerezaMadereva hao
Hivi hawa jamaa washapata kamishna mpya kumbe
Ndio .siku hizi hawapo nyuma naoOhoo mademu nao madereva wa trekta
Wapo vzr asee tusubir PDFNdio .siku hizi hawapo nyuma nao
Umekaza?Habari za majukumu ndugu zangu,nimeitwa kwenye usahili Jeshi la Magereza, kwa anaejua format ya maswali Yao anisaidie tafadhali
.