Akagando
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 533
- 116
Wakuu kuna simu yangu imegoma kuwaka baada ya kufanya rooting,ikiwaka aifanyi chochote. niliiroot kwakutumia kingroot,baada ya kuroot nikadownload ifont na kuinstall baada ya kuinstall nakajaribu kutafuta font niipendayo ikaniambia ni reboot ili kubadilisha system font nikaruhusu iriboot baada ya kureboot ikabaki kwenye kuandika Adroid bila kuendeleza chochote. Natumaini kupata msaada kutoka kwenu. msaada jamani