msaada: how to install windows mobile in treos palm 750

nurbert

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,887
427
hi guyz kunam2 kaniletea hyo cmu aina ya palm treos 750 ambayo inatumia huwa inatumia windows mobile lakn hii nmekua ina os ambayo co windows na cjui ni aina gani! Msaada nahtaji kupata maelezo on how to install windows

[htt://google.com/m/imgres?imgurl=http://pcqreview.com/wp-content/uploads/2010/01/palm_treo_750.jpg&imgrefurl=http://www.pcqreview.com/2008/04/3g-to-go-palm-treo-750/&h=361&w=407&sz=92&tbnid=G-Y2CfEO-EMloM:&tbnh=80&tbnw=90&prev=/search%3Fq%3DPalm's%2BTreo%2B750%26tbm%3Disch%26tbo%3Du&zoom=1&q=Palm's+Treo+750&usg=__r9WinURPKMUCRCWERhT5Hmy2uTg=&sa=X&ei=kr_NT4aJHOSU2AWajO2rDg&ved=0CBIQ9QEwAw&site=images&bl=universal]
 
palm treos 750 ni simu ya siku nyingi, siku za windows mobile 5.0. sijawahi skia inatumia mfumo mwingine wa OS. kuna aina tano za mobile OS ambazo zinatumika zaidi duniani: iOS, Symbian, Android, Windows Mobile na Blackberry OS. kuna zingine ambazo sio famous sana kama maemo, HP webOS, meego na palm OS
webOS ni mfumo mpya wa palm ambayo ulikuja kuchukua nafasi ya palm OS.
simu uliyo nayo kama ni ya palm, itakuwa ina mojawapo wa hizo OS tatu (windows mobile, webOS au Palm OS). naomba uangalie tena model yake coz 750 ilikuja na windows mobile. ahsante.
au post picha ya hiyo palm, most likely nitaijua kwa kuiona
 
Ilikua haijaandkwa model then kwenye pcha nkaona zmefanana. Hii ni treo 680 then imekuja na palm os. Can u help me brother.

:doh:
 
nitakusaidia vyovyote niwezavyo. ila ujue huwezi badilisha OS yake. labda upgrade (na hapo pia sina uhakika mpaka nifanye karesearch)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom