IT Guru
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 635
- 112
Natumia nokia 2330 classic. Application ya watsApp messenger haingii kwenye simu, maana kila ninapo search napata whatsApp format ya symbian(.sis) na nokia 2330 haiaccept symbian applications(.sis). Ina accept java applications. naombeni msaada wakuu, website gani naweza pata watsApp messenger ya format ya java? Nimetafuta sana ila sijafanikiwa.