Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Mkuu mm kuna mmoja nilipiga sanaa ila alikuwa hataki bila ndom, sasa nikajifanya mjanja nikachomoa ndom katikati ya gem, alivojua alinisukuma, sikuona ndani tena sikujua kwann nikafikiri labda alikuwa anaogopa mimba, kumbe alikuwa nao na alijijua.. ni marehem kwa sasa hiyo ilikuwa 2006.. alikufa 2009, mm kupima ilikuwa mziki.. siku ya kwanza nikaenda magomen zahanat pale nikaishia getini nikarud. Mara ya pili niaenda Amref nikasema potelea mbali. Nikapima.. kuanzia hapo hakuna demu nagegeda bila kupima..
Wanawake wana huruma sana. Hawataki kuambukiza kwa makusudi tofauti na wanaume.
 
Kwasababu tunafahamu uchungu wa mwana.
Ni kweli. Ila siyo wote. Kuna mama mmoja ameathirika toka 2003. Sasa akampata kijana mmoja akampa mgegedo bila hata kondomu. Jamaa toka 2003 anapiga mgegedo tu mpaka mwaka Jana 2016 mwezi wa saba alipokuja kuona kadi yake ya CTC na kopo mbili za TLE. Dah! Jamaa alipandwa na pressure Kali sana gafla sana. Nilimtuliza na kumpa ushauri maana alikuwa karibu yangu sana. Nilimshauri akapime ili ajue status yake. Jamaa hakukubali. Basi akaniambia nimtafutie kipimo akajipime mwenyewe. Kuna siku nikiwa ofisini nikakaimu majukumu ya boss na BAHATI nzuri kwenye drop ya meza yake niliona kipimo cha unigold. Faster nikakichukua japo hapakuwa na buffer. Nikampelekea akatumia maji safi kama buffer. Jamaa akajiona yupo fiti na alipoona yuko fiti ikabidi arudi sasa hospital kupima upya na akaconfirm yupo OK. Mpaka sasa hataki michepuko ya kila aina.
 
Mkuu miaka ya 90 kuna kijana jirani yetu alipata ajira Breweries Dar, haikuchukua muda akahamishiwa Breweries ya Mwanza. Kijana wa kama 24 hivi ndiyo kwanza ametoka chuo, alikutana na mama mteja maarufu wa pale breweries, yule mama alikuwa na migahawa pamoja na nyumba za kulala wageni, alimpenda kijana akamvutia kwake. Kumbe mama ni muathirika. Yule kijana sita sahau amerudishwa hoi unahesabu mbavu wakati ule hata ARV hakuna.
 
Wanawake wana huruma sana. Hawataki kuambukiza kwa makusudi tofauti na wanaume.
Ni Kweli Wapo miongoni mwao wenye mioyo ya huruma Kama ilivyo asili yao. Ila sio wote wenye kutenda kwa Huruma, Mwanamke akiwa hana huruma anakuwa hana huruma kweli kweli. Usiombe ukutwe na wa aina hiyo, alafu akawa anakula koni, yaani anaweza kuijeruhi dushe makusudi tena kwa mbinu za kihalifu haswa. (Mara nyingi japo sio zote wa hivyo huwa na chanzo Fulani kilichowasukuma kuwa na mioyo hiyo).
 
Mkuu miaka ya 90 kuna kijana jirani yetu alipata ajira Breweries Dar, haikuchukua muda akahamishiwa Breweries ya Mwanza. Kijana wa kama 24 hivi ndiyo kwanza ametoka chuo, alikutana na mama mteja maarufu wa pale breweries, yule mama alikuwa na migahawa pamoja na nyumba za kulala wageni, alimpenda kijana akamvutia kwake. Kumbe mama ni muathirika. Yule kijana sita sahau amerudishwa hoi unahesabu mbavu wakati ule hata ARV hakuna.
Dah! Nachowapendea wanawake katika janga hili ni kwamba wanauthubutu. Wepesi wa kujikubali. Wanajiheshimu. Ni tofauti na wanawaume. Mwanaume akijigundua ameathirika ndo kwanza anafungua milango ya kuusambaza kwa nguvu zote. Kuna kijana mmoja mmakamo ya miaka 25 ni bobadboda. Jamaa kaathirika na anavibadilisha kweli vibinti vya secondary na mama ntilie. Na inasemekana kwa wale ambao wamemgundua kuwa anawasokomezea tu bila hata kinga.
Badala ya kuachana na ngono zbe basi wanaume huendekeze ngono bila hofu ya kupata other sorts of HIV.
Kikubwa ni kuendelea kutoa elimu kwa clients ili waendelee kufuata misingi ya afya bora
Tuna kauli mbiyu kuwa "usilopenda kutendewa usimtendee mwenzio"
 
Naafiki huo ukweli Mkuu, ipo mifano mingi yenye kuthibitisha ukweli huo. Katika hili la UKIMWI wenzetu wa jinsi ya kike wanaujasiri mkubwa wa ku move on na maisha tena kwa utulivu kuliko sisi.
 
Ushuhuda huu ulioletwa na mtoa mada uwe ni funzo kwa wote hasa wapenda michepuko. Wasifanye diagnosis kwa kuangalia uzuri wa MTU.
Kuna binti mmoja wa kiArusha nadhani ni Mbulu,binti ni wa 1995 ila ana mwili Fulani hivi unaweza kumdhani ni mkubwa kiumri ila ni mrembo hatari. Kitu cheupee pee. Dah! Dada wa watu huwezi kumdhania na ukizubaa unaweza kujikuta unaomba mzigo hata kama unamjua hali yake ya kiafya. PIMA KABLA YA KUGEGEDANA NA MTU,ASSUME KILA UNAYEMUONA AMEATHIRIKA ISIPOKUWA MME/MKE WAKO TU
 
Dah! Nachowapendea wanawake katika janga hili ni kwamba wanauthubutu. Wepesi wa kujikubali. Wanajiheshimu. Ni tofauti na wanawaume. Mwanaume akijigundua ameathirika ndo kwanza anafungua milango ya kuusambaza kwa nguvu zote. Kuna kijana mmoja mmakamo ya miaka 25 ni bobadboda. Jamaa kaathirika na anavibadilisha kweli vibinti vya secondary na mama ntilie. Na inasemekana kwa wale ambao wamemgundua kuwa anawasokomezea tu bila hata kinga.
Badala ya kuachana na ngono zbe basi wanaume huendekeze ngono bila hofu ya kupata other sorts of HIV.
Kikubwa ni kuendelea kutoa elimu kwa clients ili waendelee kufuata misingi ya afya bora
Tuna kauli mbiyu kuwa "usilopenda kutendewa usimtendee mwenzio"
Mkuu nilifanya nao kazi kama sehemu ya field work yangu miezi mitatu lakini nilipata experience kubwa sana. Ninakumbuka mama mmoja kwa maelezo ya wafanya kazi alihudhuria clinic kwa miaka 20 baada ya mume wake kufariki kwa ugonjwa. Asili yake ni Malawi, baada ya umri kusonga familia yake ilimshauri arudi nyumbani, amefika kule wakamshauri aokoke na kumtegemea Mungu, baada ya muda nikiwa pale habari zilifika alifariki baada ya kuacha kutumia ARV's.
 
Nikweli mno Swahiba Sky Eclat Kiujumla UKIMWI ni ugonjwa tunaouogopa Sana pengine kutokana na ukweli kwamba hauna tiba, ila kuna mifano mingi mingi mno ya watu walioupata na wameishi zaidi ya miaka 15/20. Jambo la muhimu ni kujua Hali yako ya kiafya jambo ambalo ndio mtihani mkubwa tunaohofia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom