Msaada hii laptop inanishangaza

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
743
350
Wakuu habari zenu...
Naomba msaada laptop yangu imepta tatizo ambalo nimeshindwa hata kujua nianzie wapi.
Laptop yangu ni
DELL XPS,64-BIT,WINDOWS 7 na ina RAM 8GB.Na ina antivirus ya KASPERSKY '12.
Ni kwamba,nikiiwasha inawaka vizuri tu na haraka ila tatizo linakuja ikishadisplay icon za desktop inakuwa very slow,yani inaweza ikachukua hata dakika mbili nzima kufungua MS WORD,PAINT au program yoyote ile kwa muda
wa kama dakika kumi za mwanzo.Ila baada ya hapo inakuwa fast na kila kitu kinaenda kama kawaida.

Siku za nyuma sikuwahi kupata tatizo kama hili,nimejaribu kufanya system restoration ila haikutatua tatizo.Nimekwama wakuu naombeni ushauri wenu...




 
ni software zako mwenyewe ulizo install zina tabia kila ukiwasha computer zina run (auto run). Nyengine zina run huku unaziona na nyengine zina run background

Software zenye tabia ya kufanya autostart ni hizi hizi za matumizi ya kawaida kama idm, adobe softwares, yahoo messengers, pc suite na software nyenginezo.

Pindi unapowasha computer zinarun zote kwa pamoja so zinafanya computer iwe slow.

Solution ni kuzitoa zote zisitart automatic mi tool nnayoitumia inaitwa revo un installer hii ni kiboko ya ku unistall pamoja na kutoa autorun kama hizo hasa zile zinazorun background bila wewe kujua.

Kuidownload click hapa Revo Uninstaller Pro - Uninstall Software, Remove Programs easily, Forced Uninstall

Then ukishainstall utaenda tools halafu autorun manager
 
tatizo langu linafanana na la mkuu hapo juu ila langu ni kubwa zaidi pc yangu ni HP 530 ikishaonyesha desktop icon inakaa kama dakika arobain ndo inaanza kufanya kazi kama kawaida ndan ya dakika 40 haifanyi kitu chochote inakua kama imestack tatizo ni nini wakuu
 
QUALIFIED & IrDA kama chief-mkwawa alivyosema, una program kibao zinazostart na computer yako. kuna software kibao za kuzitoa lakini mi nilizaliwa siku za DIY (do it yourself), hivyo basi, nawaonesha jinsi rahisi ya kuzitoa.
nenda kwa start, type msconfig.
t8nbrk.png

ianishe msconfig uchague start up alafu untick program zote unazo ona pale (with a few exceptions kwa vitu kama antivirus).
2i70eo8.png

click apply na umemaliza. dakika tano tu :A S tongue:
 
Last edited by a moderator:
leh said it well, kwenye msconfig huwa ni easy kwangu. Need no xtra software, kila kitu hapo hapo.
 
Last edited by a moderator:
Big up Chief Mkwawa
Naona umemliza kila kitu sina haja ya kuongezea
 
Back
Top Bottom