Msaada; google chrome in english

ARV

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
4,972
6,968
KWA ANAYEJUA JINSI YA KUBADILI AU KUDOWNLOAD IWE KATIKA LUGHA YA KIINGEREZA, NIMEJITAHIDI KUGOOGLE NAAMBIWA HUWA INADOWNLOAD KUTOKANA NA ENEO HUSIKA, KAMA UKO UARABUNI INADOWNLOAD KIARABU, KAMA UKO CHINA ITADOWNLOAD KICHINA.
MIMI HAPA NIMEDOWNLOAD IMEKUJA KISWAHILI NA MIMI NILIKUWA NATAKA YA KIINGEREZA NTAFANYAJE? MAANA HAYA MANENO YA KISWAHILI KAMA, chagua kichupo kipya, hariri, dirisha fiche jipya, tendua, kata, bandika, kagua sehemu, upao wa alamisho, NAONA KAMA YANANIPA SHIDA KUYAELEWA KIURAHISI.
 
kabla hujadownload, upande wa kulia pameandikwa kiswahili, paclick zitakuja lugha kibao. Mfano :english us, english uk, tagalog, swahili, french,italiano. We chagua english uk. Then ndo udownload,
 
Ama ukiwa kwenye page yake ya kudownload, ambao ni wa kiswahili, check url kwa makini utaona sehemu imeandikwa 'sw' badili uweke 'en'. Ama kwenye hiyo link kuna extension ya tz. Yaani .co.tz/blablablaHapo kwenye tz badili uweke 'uk' then ndo uendelee kudownload mkuu.
 
hamna kitu hunichosha kama chrome kufikiri am a kiswahili user. i swear to god one of these days.. anyway, fanya hivi.. ukifungua chrome, pale juu kuna icon ya wrench (spanner) click pale, chagua settings alafu scroll down mpaka palipoandikwa show advanced settings. scroll down zaidi baada ya kuchagua advanced settings *lugha* change to english zote mbili. close and restart your browser
 
  • Thanks
Reactions: ARV
Mkuu leh nashukuru sana kwani sasa imebadilika natumia ya kiingereza, nawashukuru na wote mlio-respond, Big up...

Leh

Back
Top Bottom