Ze burner
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 514
- 83
Ndugu wana JF. Habari za Leo
Hii ni mara ya pili kwa upande wangu kutumia simu na kupokea kauli za kutatanisha kutoka kwa mafundi.
Mwanzoni nilikuwa na na nokia n 95 ambayo katika mazingira ya kutatanisha ilizima ghafla na nilipopeleka kwa fundi nikaambia tatizo halionekani hivyo ilishindkana kuwashwa nikaipotezea.
Hivi juzijuzi nikiwa katika dala dala na simu aina ya lg 50w nilihisi umoto mkali simu inaunguza. nikaitoa betri na baadaye kuiweka tena. the samething happened. hivyo niliamua kuipeleka kwa doctor wa simu naye alinieleza kuwa simu yangu ina shoti kwa mujibu wa vipimo. fundi alijaribu alivyoweza ila ikashindikana kuondoa shoti hiyo bado ninayo.
sasa najiuliza kama ingekuwa binaadamu tungempeleka kwa mganga wa kienyeji. Hivi inawezekana simu kurogwa??? jee waganga wa kienyeji wanaweza kuiangaza simu kujua ina matatizo gani. Those experienced the same please help!!!