Msaada: Duka lenye jeans kali bei rahisi k'koo

Kariakoo House of Jeans nawakubali sana,ukifika sokoni Kariakoo upande wa mabasi ya mwenge ulizia mtu yoyote pale ambaye ni mwenyeji anapajua...
 
Nimecheki hii post na nika-confirm tatizo ambalo watanzania wengi tunalo....Watu hawasomi, ni wavivu mno. Too bad for our country.
  1. Mtu kasema anatafuta jeans 'jitu' linakurupuka na kusema aweke bei eti good news
  2. Mtu kasema anataka Kariakoo, 'jitu' linakurupuka linamwelekeza posta.
Watanzania tuwe na utamaduni wa kusoma na kuelewa tunachokisoma. Si generalize, ila ni tatizo. Watu hupenda kusoma magaazeti ya udaku coz maumbea ndo yamejaa huko.

Naomba mnisamehe wale ambao nitakua nimewakwaza.

Back to the topic, mkuu mimi sijui duka lolote Kariakoo ambalo unaweza pata jeans nzuri. Naamini wapo wadau watakao kusaidia

Asanteni
mtoa post kaulizia maduka ya kariakoo labda huenda hajui kwamba posta pia kuna maduka ya jeans kwa hyo alomwelekeza aende posta hajakosea sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom