Msaada: Duka lenye jeans kali bei rahisi k'koo

Jamani wana jamvi nahitaj kujua duka lenye kuuza JEANS nzuri KARIAKOO lakini bei zake si za kutisha!

kuna duka linaitwa wa ukweli...lipo karibu na magari ya mwenge via shekilango yanapopaki. ukishuka tu unashuka ngazi kuelekea chini kuna duka kulia.
 
nenda palae opp na kituo cha mwenge kko kwenye maduka ya urembo ingia ndani kuna kauchochoro pale ahh utapata kwa raha...bt y za dukan?umekua meku?

nenda karume babu ukitungua ya elfu 30 mkataba aichuji,kitu cha peke yake not like sale za kko ukinunua leo afta miez miwil kushnei

andaa laki 1 utapata jeans zako 4 ivi tulia..nxt mth andaa laki ya matshet ya ukweli ..nxt mashat...nxt viatu...BOKSA SI MUHIMU SANA

nenda mtumbani..karume,mchikichin,tandika au km vp kko kwenye mabanda

MEKU ndo nin?
 
kuna duka linaitwa wa ukweli...lipo karibu na magari ya mwenge via shekilango yanapopaki. ukishuka tu unashuka ngazi kuelekea chini kuna duka kulia.

ahsante wewe ambaye umejua kunielekeza
 
Nimecheki hii post na nika-confirm tatizo ambalo watanzania wengi tunalo....Watu hawasomi, ni wavivu mno. Too bad for our country.
  1. Mtu kasema anatafuta jeans 'jitu' linakurupuka na kusema aweke bei eti good news
  2. Mtu kasema anataka Kariakoo, 'jitu' linakurupuka linamwelekeza posta.
Watanzania tuwe na utamaduni wa kusoma na kuelewa tunachokisoma. Si generalize, ila ni tatizo. Watu hupenda kusoma magaazeti ya udaku coz maumbea ndo yamejaa huko.

Naomba mnisamehe wale ambao nitakua nimewakwaza.

Back to the topic, mkuu mimi sijui duka lolote Kariakoo ambalo unaweza pata jeans nzuri. Naamini wapo wadau watakao kusaidia

Asanteni
 
bora uwaelekeye wa kuelewe maana nilishangaa mtu anasema LEVI'S
 
Nimecheki hii post na nika-confirm tatizo ambalo watanzania wengi tunalo....Watu hawasomi, ni wavivu mno. Too bad for our country.
  1. Mtu kasema anatafuta jeans 'jitu' linakurupuka na kusema aweke bei eti good news
  2. Mtu kasema anataka Kariakoo, 'jitu' linakurupuka linamwelekeza posta.
Watanzania tuwe na utamaduni wa kusoma na kuelewa tunachokisoma. Si generalize, ila ni tatizo. Watu hupenda kusoma magaazeti ya udaku coz maumbea ndo yamejaa huko.

Naomba mnisamehe wale ambao nitakua nimewakwaza.

Back to the topic, mkuu mimi sijui duka lolote Kariakoo ambalo unaweza pata jeans nzuri. Naamini wapo wadau watakao kusaidia

Asanteni

Mimi umenikwaza bigtime. Mtoa thread hakuwa makini ndio maana tukampa majibu ili aelewe. Wewe unakuja unatukana hapa.
Wewe uliwahi kusikia wapi jeans kali ikauzwa bei rahisi kariakoo? HEBU SOMA VIZURI TITLE YA THREAD NA UNITAKE RADHI
 
Kwasababu mtoa uzi hakuwa makini kwa hiyo we unadhani kwa kumpa majibu ya kejeli ndo utakuwa makini? Mbona tupo kwenye soko huria, vitu vingi tu vina ubora sawa lakini vinauzwa bei tofauti kulingana na duka, eneo ya sababu nyinginezo! unajuaje mtoa mada alikuwa anataka aelekezwe duka lenye bei afadhali? Hukumjibu kwa busara bwana so alochosema Tripo9 alitaka kukuonyesha kuwa hukuwa sahihi.
 
mkuu yupo kijana wangu anauza za magumashi 19000 , 18000 kama unahitaji nikufanyie mpango
 
Unataka jeans za aina gani??za ukweli au hizi za kuchovya ?zinazopauka??
 
Back
Top Bottom