Utamaduni
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 1,279
- 597
Wakuu heshima yenu....
naombeni msaada wenu ili niweze kupata ufumbuzi wa tatizo hili Invisible, shy n wote.
Computer ninayotumia hii ya hapa job imeingilia na kitu sumthing like virus katika account ya Administrator ambapo imefuta / au kuondoa all item katika desktop na ime'disable desktop, hata uki'right click nothing appear, yani desktop imekuwa empty, you can do nothing with it, ukienda kwenye kuna mtu alinielekeza niende nikarekebishe settings kwenye REGEDIT lakini i cant log into inaniambia was desible by administrator, sasa this is the admin account, nimejaribu ku'repair nothing, na pc ya mwenzangu pia imetokea hivvyo, amejaribu kui'formart but siku hiyo hiyotatizo la ku'disable dsktop limejirudia.
tumejaribu kubadilisha Anti-virus lakini bado the same ss hivi tunatumia Avast 4.8
nitafurahi mkinipa ka'njia kakutokea!
gud day!