Kijana kimbilia hiyo kozi ni nzuri,haina changamoto nyingi kwenye ajira,kazi ni nyingi sana.Vilevile hata ktk usomaji wake kama ulifaulu vizuri ni kawaida tu nyie ndio wataalam wa utafiti wa maji chini ya ardhi miamba na ukandarac wa visima vya maji.ni bataaaa tuuuuu,kozi ipo chuo cha rasilimali za maji tu dsm.
piga kazi kijana, hiyo kozi ni nzuri sana hasa pale unapopata nafasi ya kukaa mahala kwenye mfereji-- changamoto kwa kazi hii ni ngumu kupata kazi kutokana na mwamko mdogo wa watu katika kutumia maji ya ardhini lakini within 10 years to come nakuhakikishia kuwa itakuwa hot cake!!
Cha msingi--- Live your dreams not what others are doing or think--!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.