Hakuna kitu kama file la vlc waa la windows media player, zote ni program zenye uwezo wa kufungua video files za aina mbali mbali, kama unataka kuifungua na Windows Media player basi right click chagua Open With.. Kisha chagua Windows Media Player. Au fungua windows media player nenda File.. Open na ifungue hiyo file, kama WMP ina uwezo wa kuifungua itaicheza.
na mimi nilihisi anataka kusema flv akasema vlc...ingawa bado vlc inaweza kufungua flv files...labda kama iwe corrupted!!sijamsoma vizuri...........labda anamaanisha zile file ambazo haziko supported na wmp kama vile flv file etc
na mimi nilihisi anataka kusema flv akasema vlc...ingawa bado vlc inaweza kufungua flv files...labda kama iwe corrupted!!
na mimi nilihisi anataka kusema flv akasema vlc...ingawa bado vlc inaweza kufungua flv files...labda kama iwe corrupted!!
yaan huyo nlivyo muelewa n kwamba vdeo zake zmeweka icon ya vcl so akiplay tu moja kwa moja inaplay via vcl alkua anataka a change i con ile...
mkuu sawa ni flv iwe ina play kwenye wmp......inanajibu hivi:..............na mimi nilihisi anataka kusema flv akasema vlc...ingawa bado vlc inaweza kufungua flv files...labda kama iwe corrupted!!
unachosema ni kweli, wmp haiwezi kuplay flv mpaka uinstall codecs zake au upadate hiyo wmp to latest version...flv inaweza kuchezwa na player nyingi tu nyinginezo lakini sio wmp at default!!mkuu sawa ni flv iwe ina play kwenye wmp......inanajibu hivi:..............
Windows Media Player cannot play the file. The Player might not support the file type or might not support the codec that was used to compress the file.