MSAADA: Connection ya AitTel Ipo Very Very Slow na Inakatika Katika, Nifanyeje?

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Jamani natumia Modem aina ya Huawei E220 ya zain, kabla nilikua nasubscribe kwa fulldata na ilikua iko poa sana, hadi nikawa ambassador wa kujitolea wa airtel, nikawa nawashauri watu wajoin airtel.

Wakati huo nilikua nikiconnect napata 3G lakini sasa niki-connect napata EDGE na speed ni 236kbs na bado inakatika katika hovyo, nikifungua tab tatu connection inakata kabisa, nikifungua tab moja inakuwepo ila very very slow, yaani unaunga chai, unakunywa bado inafungua page moja, Naomba msaada wana teknolojia
 
Ukiwa maeneo ya mijini unapata 3G au WCDMA na wakati mwingine 3.5G au HSDA. Maeneo mengi ya wilayani na vijijini ni EDGE ambayo inategemea satelite connection. 3.5G haina tofauti na broadband kwa speed.
 
nipo Tegeta, nilikua napata 3G lakini sasa sipati, nifanyaje?
 
yaan umeniwahi mkuu,ndo nimeingia hku na mm nianzishe thread ya kuuliza kulikon conn. imekua slow ajab ka ya voda vile!...nahic hawa provider wakishakua na wateja weng wanaelemewa...hata tigo itakuja kua hvo hvo tu..uozo tu.
 
inawezekana walikua na matatizo, maana naona toka jana 29.04.2010 speed imekua afadhali kidogo
 
Try to change the sim card coz sometimes internet speed it depend on the sim card ur using not the place where u r, nazungumza nikiwa nina uzoefu nna matatizo ya speed kama hayo coz i live outside the city of DSM and i get 3.5G yaani hdspa.
 
inawezekana labda kuna tatizo la kiufundi. hayo maeneno uliyopo ni ya kupata 3G kabisa. ila mie nipo airport natumia airtel vile vile na napata speed kubwa ya 3G hadi kufikia download speed ya 300KB per second. ila sielewi kwa nini spidi ikiwa kubwa modem inakuwa imoto sana, kupita kiasi. Jee kuna hatari yoyote kwa modem:?
 
Kitu kuwa cha moto sio kama ni matatizo,thats y kwenye pc wamefunga fan na kwenye magari nako kuna rejeta.
inawezekana labda kuna tatizo la kiufundi. hayo maeneno uliyopo ni ya kupata 3G kabisa. ila mie nipo airport natumia airtel vile vile na napata speed kubwa ya 3G hadi kufikia download speed ya 300KB per second. ila sielewi kwa nini spidi ikiwa kubwa modem inakuwa imoto sana, kupita kiasi. Jee kuna hatari yoyote kwa modem:?
 
kitu kuwa cha moto sio kama ni matatizo,thats y kwenye pc wamefunga fan na kwenye magari nako kuna rejeta.

mkuu hujajibu swali alilouliza mdau, kama huna jibu ni busara ukikaa kimya. Anauliza hiyo modem yake inavyopata moto sana sio hatari kwa life ya modem yake?
 
mkuu mbona nimeshajibu swali nikatoa na mifano kabisa ni hivi wala haina madhara kabisa na huo upataji moto wake kwanza umeme unaoingia kwenye hiyo modem ni kidogo sana pili hiyo modem ina uwezo mpaka wa kusafirisha 3.2 mbps lakini airtel kama wao huruhusu mpaka 1.2 mbps hiyo nadhani mara tatu ya uwezo wa hiyo modem,so wala usiwe na hofu
mkuu hujajibu swali alilouliza mdau, kama huna jibu ni busara ukikaa kimya. Anauliza hiyo modem yake inavyopata moto sana sio hatari kwa life ya modem yake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom