MSAADA: Connection la chimbo la saa za smart wanao uza Jumla jumla

lynch

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
293
247
Habari za asubuhi:
Moja kwa moja kwenye maada,Naomba connection au chimbo la saa za smart(Smart watches) kwa bei ya jumla jumla tufanye kazi.
Jamii forum ni kubwa na inatukutanisha na watu mbali mbali wenye utashi na weledi mbali mbali,Naamin siwezi toka kapa kwenye hili.Natanguliza shukran na asanteni sana.
 
0714036595 nicheki hapa WhatsApp&Call
 
Back
Top Bottom