Msaada Chuo cha Ualimu Masomo ya Biashara

Nyati

JF-Expert Member
Mar 6, 2009
2,491
1,825
Wakuu Naomba Msaada wa kujua chuo kinachotoa Elimu ngazi ya Diploma Upande wa Masomo ya Biasahara yaani Commerce na Bookkeeping.

Naomba kujua pia kama ni chuo cha Serikali AMA cha Binafsi naomba kiwe kinatambulika yaani kilichosajiriwa na Mamlaka husika.

Aksanteni Sana
 
Back
Top Bottom