Msaada chuo cha Muhimbili

Mukala

New Member
Jul 18, 2023
2
0
Habarini ndugu zangu
Nina kijana wangu kaomba chuo cha muhimbili tangu tarehe 15 mwezi huu lakin kwenye kupata namba za malipo imeandika please wait mpaka leo, najaribu kuwapigia simu hawapokei kabisa. Kuna namna hili naweza kusaidiwa kulitatua? Natanguliza shukrani zangu
Screenshot_20230718-130127.jpg
 
Habarini ndugu zangu
Nina kijana wangu kaomba chuo cha muhimbili tangu tarehe 15 mwezi huu lakin kwenye kupata namba za malipo imeandika please wait mpaka leo, najaribu kuwapigia simu hawapokei kabisa. Kuna namna hili naweza kusaidiwa kulitatua? Natanguliza shukrani zangu View attachment 2692706
Selection bado mkuu
 
Selection bado mkuu
Namaanisha malipo ya kufanya application mkuu siyo selection, yaani ameshindwa kukamilisha kuomba nafasi ya kusoma kwa sababu ya hiyo sehem ya kupata control number za kulipia tangu tarehe 15 mpaka leo inaandika hivo
 
Back
Top Bottom