Msaada:chaneli zinazoonesha ligi kuu ya uingereza

CEYLON

JF-Expert Member
Dec 3, 2012
282
101
Habari wana jf,ukiacha DSTV,kuna chaneli zozote zinazoonesha ligi za mpira wa miguu za uingereza,hispania,italia nk? kama zipo naomba kujuzwa namna ya upatikanaji pamoja na gharama zake.
 
irib verzesh na irib tv 3 zinapatika 20°E kwa rcv ya mpeg4 yenyeuwezo wa kupatch biss key

ahsante kwa ushauri mkuu,nitajaribu kuwafuata mafundi wanisaidie kuhusu meseji yako maana ipo kisayansi zaidi
 
Back
Top Bottom