Msaada: Baada ya tendo, siku tatu mbele natokwa na vipele

Naomba msaada matibabu,,, baada ya tendo,, siku tatu au nne natokwa na vipele pembezon mwa uume ambavyo huwasha sana na ukivikuna vinabaki vidonda,, nilichoma sindano ya ppf lakin tatizo lipo pale pale,,, naomba msaada nitumie dawa gani au hili tatizo linasababishwa na nn???
Umeshapona?
 
Pole jaman au mpime u.t.i na magonjwa ya zinaa wewe na mamaa alafu muwe kwenye doz wote,pengne alichepuka alafu ye kumgundua ni ngum 7bu sisi sehem zetu zime jificha kiaina,try to do that,i hope uta lmdta marejesho mazuri,God is with you.
 
Jamani msimhukumu mtu hilo tatizo lipo namikutana na watu kadhaa wanalalamika hivyo siyo gonjwa la zina bali ni mzio fulani unatokea anapokutana na shahawa hata kama akitumia kondomu,nilijaribu kuwapima vipimo kadhaa sikupata kitu,nikawashauri wapake jelly kabla ya sex kidogo ikaleta uafadhali
 
duh, pole sana hapo hakuna jinsi inabidi ukaonane na dokta ili akufanyie vipimo na kukupatia dawa itakayo kuponya tatizo lako.
 
Havijaanza leo ni mwaka wa 4 sasa na nipo na wife

Mwaka wa 4? Umewahi kusikia kitu inaitwa Genital Herpes? Huwa vinakuja baadae vinaondoka vyenyewe harafu vinarudi tena baada ya muda? Sounds like Herpes. Sijui kama Bongo wanaweza kupima hiyo kitu
 
Mwaka wa 4? Umewahi kusikia kitu inaitwa Genital Herpes? Huwa vinakuja baadae vinaondoka vyenyewe harafu vinarudi tena baada ya muda? Sounds like Herpes. Sijui kama Bongo wanaweza kupima hiyo kitu
Hii inatibiwaje mkuu,
 
Back
Top Bottom