Digital kid
Member
- May 7, 2016
- 49
- 87
Mkeo ulienaniliuu nae au???
Umeshapona?Naomba msaada matibabu,,, baada ya tendo,, siku tatu au nne natokwa na vipele pembezon mwa uume ambavyo huwasha sana na ukivikuna vinabaki vidonda,, nilichoma sindano ya ppf lakin tatizo lipo pale pale,,, naomba msaada nitumie dawa gani au hili tatizo linasababishwa na nn???
Havijaanza leo ni mwaka wa 4 sasa na nipo na wife
unomuuliza last seen yke ni 2017Ulipona?
unomuuliza last seen yke ni 2017
Hii inatibiwaje mkuu,Mwaka wa 4? Umewahi kusikia kitu inaitwa Genital Herpes? Huwa vinakuja baadae vinaondoka vyenyewe harafu vinarudi tena baada ya muda? Sounds like Herpes. Sijui kama Bongo wanaweza kupima hiyo kitu