msaada:App Error 552 on blackberry

ProBook

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
558
257
Wakuu nilizima simu yangu kwa kuchomoa batter bila kuswitchoff nlipokuja kuiwasha ndo ikanletea a white screen na hyo sms on screen App Error 522 na option ya kureset,,lakini nkijarb kureset inakataa na kujirestart..naombeni msaada wa kufix hili tatizo..
Natumia blackberry 9520
 
hiyo ki2 ni tatizo la kawaida me nshakutana nalo sana,ni hv ikikwambia app error it means kuna app kwa hyo ambayo imekuwa corrupted ambayo inapelekea kuharibu software ya hyo blackberry ni DM nikusaidie..
 
Back
Top Bottom