Msaada anaejua bei ya miti nataka kuivuna

BEI ZA MITI KWA WILAYA ZA MUFINDI NA HUKO NJOMBE , MTI MZURI, ULIOKOMAA, MIAKA 10-20, HAIZIDI SH 10,000 KWA MTI MMOJA, NA INAWEZA RANGE: 4,000-10,000. ACHANA NA KILIMO CHA KWENYE MAKARATASI. MWAKA JANA NMEUZA SHAMBA LANGU, MITI YA UMRI MIAKA 14, SH 7,000 KILA MTI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wanaosema wametajirika kwa kulima miti, inamaana wanalima heka mamia labda...??
Sasa hivi nasikia parachichi ndio habari mpya...??
 
usijaribu kuchana ili uuze mbao
Ushauri mzuri sana kwake na kwa wengine wenye mashamba, maanake wengi wanadanganyika kuwa bora nichane mwenyewe nipate faida kubwa mwisho wa siku inakuwa hasara kubwa.
 
Kilimo cha kwenye makaratasi, ufugaji wa kware,njiwa, sungura nk ulivyo na utajiri wakati mtoa semina hana hata kinda la njiwa kwake.
Watu wengi wanazani kulima na kupata fedha katika kilimo ni rahisi sana, hawajui siasa za huko na usumbufu uliopo
 
Back
Top Bottom