Hawaki
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 757
- 1,054
Vipi kuhusu mikaratusi, iliyokomaa sana inaweza kufika kiasi gani.Biashara ya miti ya mbao hasa hiyo miti "pines" Haina Bei ndefu kwa mkulima.. Watu wa Mufindi Na Njombe wanaliewa vizuri..
Vipi kuhusu mikaratusi, iliyokomaa sana inaweza kufika kiasi gani.Biashara ya miti ya mbao hasa hiyo miti "pines" Haina Bei ndefu kwa mkulima.. Watu wa Mufindi Na Njombe wanaliewa vizuri..
Hiyo miti katika umri wa miaka 13 inakuwa 650 kwa hekta 1, hivyo piga 15000 x 650Nahisi atakuwa amekosea labda alimaanisha 100,000 hadi 130,000 kwenye kuandika ila kama ni kweli basi hiyo ni biashara kichaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mzuri sana kwake na kwa wengine wenye mashamba, maanake wengi wanadanganyika kuwa bora nichane mwenyewe nipate faida kubwa mwisho wa siku inakuwa hasara kubwa.usijaribu kuchana ili uuze mbao
Kilimo cha kwenye makaratasi, ufugaji wa kware,njiwa, sungura nk ulivyo na utajiri wakati mtoa semina hana hata kinda la njiwa kwake.Tatizo lako unachukulia bei iliyoko Dar hafu una cross multplications, wenzio walima mapalachichi wanaijua zahama ya bei
Watu wengi wanazani kulima na kupata fedha katika kilimo ni rahisi sana, hawajui siasa za huko na usumbufu uliopoKilimo cha kwenye makaratasi, ufugaji wa kware,njiwa, sungura nk ulivyo na utajiri wakati mtoa semina hana hata kinda la njiwa kwake.