Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 4,902
- 18,899
Naomba kuelekezwa namna ya kutiki/ kuweka mshale wa declaration.
Nimejaribu kwa simu Imegoma piaUnabonyeza hiko kiboksi itatick automatically
Kwa PC imegomaUnabonyeza hiko kiboksi itatick automatically
Hiko kitiki Kama ulishawahi kubonyeaa kabla Basi hakitakuja Tena we endelea tu na process nyingine.Kwa PC imegoma
Malizia kujaza kwengine kwanza ukimaliza ndio unabofya hicho kiboksi kinakubari,Kama hapa chini tafadhali
View attachment 2593186
Malizia kujaza kwengine kwanza ukimaliza ndio unabofya hicho kiboksi kinakubari,
Maliza tena alafu subiri,Nimemalizia lakini inagoma
Malizia kujaza kwengine kwanza ukimaliza ndio unabofya hicho kiboksi kinakubari,
Sikumbuki Kama niliwahi kugusaHiko kitiki Kama ulishawahi kubonyeaa kabla Basi hakitakuja Tena we endelea tu na process nyingine.
Huenda uliwahi kukigusa, hata Mimi ilinitokea Mara ya kwanza nilikua kila nikiweka kitiki hakiji ikabidi niwapigie simu wao ndio wakanielekeza kua hiko kitiki kinapigwa Mara moja tu na ukishapiga hautorudia Tena.Nimemalizia lakini inagoma
Sikumbuki Kama niliwahi kugusa
Hapo ukienda stationary unakua ushaliwa 5,000/- alafu issue ndogo,Wadau inakuaje kwenye sehem ya kujaza taarifa za chuo na kuweka attachements mbona kwangu haziwe active na niki search mwaka wangu niliosoma chuo naambiwa no data???