Binmgen:
Asante kwa msaada wako nitajaribu kubadilisha sim card nione..
no bro you need to call airtel Tanzania piga 100 customer care then waambie waactivate line yako
utasumbuka bure na kupoteza muda wako kuongea na customer care. hawajui kitu hao.
Hawa jamaa ni bure kabisa. Nina zaidi ya siku kumi sipati 3G kila nikiwaona napata maelekezo tofauti ila yote hayatatui tatizo langu. Natumia simu yangu kama modem kwenye laptop. OvyoooSure customer care hawajui ktu mfano kuna dem walishndwa kuconect simu yake e71 kwenye internet wakamwambia ina viruses wakati kumbe ilihitaji access point tu