Hongera Mkuu. Kuitwa kwenye usaili ni hatua kuelekea kupata ajira. Wengine hata usaili hawaitwi.View attachment 2477445
Kwa ambaye amewahi kufanya interview kwa hii Kada ya LIVESTOCK FIELD OFFICER II naomba kujua maswali, nisome angle ipi hasa au kama kuna group la whatsapp naombeni link nijiunge..Asanteni
Soma research ndo mara nyingi wanatoa ukoView attachment 2477445
Kwa ambaye amewahi kufanya interview kwa hii Kada ya LIVESTOCK FIELD OFFICER II naomba kujua maswali, nisome angle ipi hasa au kama kuna group la whatsapp naombeni link nijiunge..Asanteni
Kama ulishindwa kusoma notes za chuo imekula kwakoView attachment 2477445
Kwa ambaye amewahi kufanya interview kwa hii Kada ya LIVESTOCK FIELD OFFICER II naomba kujua maswali, nisome angle ipi hasa au kama kuna group la whatsapp naombeni link nijiunge..Asanteni
Wekwni maswali bhna achene janjajanja hapa alahNdugu yangu hakwenda
Paper ilikuwa ina True and False, fill the blanks za kutoshaWeka maswali mliyotolewa Leo..
Naamini hii PEPA haikuwa ngumu.. hii mm natoboa bila kusoma.. japo sijaspecilize kwenye mifugoPaper ilikuwa ina True and False, fill the blanks za kutosha
Swali la 3 ilikuwa ni ku explain the purpose of nutrients requirement in animal body.
Swali la 4
Explain the meaning of Exotic breed&indigenous breed.
Sasa Mkuu kama Una uwezo hadi wa kupasua kwenye pepa za kada tofauti na yako inakuaje hizo pepa ambazo ndio ume specialize unaangukia pua?Naamini hii PEPA haikuwa ngumu.. hii mm natoboa bila kusoma.. japo sijaspecilize kwenye mifugo
Nioneshe niliposema Kuna pepa niliangukia puaSasa Mkuu kama Una uwezo hadi wa kupasua kwenye pepa za kada tofauti na yako inakuaje hizo pepa ambazo ndio ume specialize unaangukia pua?
Kumradhi, nilichanganya madesa, ila Hongera kwa kuwa na uwezo wa kufanya pepa za kada zingine na ukatoboaNioneshe niliposema Kuna pepa niliangukia pua
Haya hongera sana aiseeNaamini hii PEPA haikuwa ngumu.. hii mm natoboa bila kusoma.. japo sijaspecilize kwenye mifugo