msaada: afanyaje mtu huyu?

mwalisa jr

Member
Aug 18, 2015
50
18
Ndugu zanguni wana jukwaa poleni na mishughuliko ya mwanzo wa mwaka na hongereni kwa kuumaliza mwaka. Ndugu zanguni naomba ushauri, mtoto ana miezi tisa na mama ni mjamzito tena, je nifanyaje? mtoto akiachishwa kunyonya haitomuathiri kiakili na ukuaji? natanguliza shukrani zangu za dhati ndugu zangu
 
Daaah .... sharp shooters!

Anyway, kwa mm naona hakuna namna. Muachisheni kunyonya na kumuanzishia maziwa mbadala ili mama mtu ajiandae kwa kijacho mtarajiwa. Ila itapendeza sana baadae coz watoto wanakuwa kama mapacha flan ivi na watakuwa marafiki sana japo ni mtu na mdogo.
 
mtoto ana miezi tisa na mama ni mjamzito tena, je nifanyaje
Ingependeza zaidi kama ungesema "Mtoto wetu" na "mke wangu" unless huna ndoa nae. All in all, mwambie huyo "mama" akapate ushauri wa daktari
 
Miez tisa mingi na inatosha kabisa kuzaa vyema bila shida wala mtt mdogo kudhurika wanawake wengine huikuta na mimba mtt akiwa na miez 3 tu,,,,,

ila tu kama alizaa kwa "operation" hili n tatizo kubwa zaidi kwa mama kuliko unavyodhani
 
nawashukuru ndugu zangu imetokea tu bahati mbaya maana sikuwa na nia hii ya kuwazaa kwa ukaribu na nilifuata kalenda vizuri sijui hata nini kimetokea nawashukuru kwa ushauri wenu mbalikiwe lkn bado nakaribisha ushauri zaidi
 
al
Miez tisa mingi na inatosha kabisa kuzaa vyema bila shida wala mtt mdogo kudhurika wanawake wengine huikuta na mimba mtt akiwa na miez 3 tu,,,,,

ila tu kama alizaa kwa "operation" hili n tatizo kubwa zaidi kwa mama kuliko unavyodhani
alizaa kwa njia ya kawaida tu
 
Back
Top Bottom