Msaaaada wa haraka ndugu wana jf.

Eshacky

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
965
244
nilikuwa naandika kaz microsoft word katka kusave ikaleta option ambayo nikaselect save without knowng nikaja kufungua lile folder ile kaz ya mwanzo yote nayo ikawa imepotea. Je kuna njia ya kuitafuta like file sababu n page nying sana. Naomba mnisaidie.
 
Fungua MS Word - Click Open(utaona list ya dokument za karibuni zilizofanyiwa kazi)... Anzia hapo kutafuta file lako.... huenda ikasaidia
 
Kama ukishindwa hiyo ya mkeshahoi, nenda kwenye start,angalia 'documents' utaiona kwenye list. Kumbuka ku_highlight file ili uone tarehe ya mwisho ya update ili kujihakikishia
 
fungua folder lolote then upande wa kushoto utaona neno documents click hapo utakuta kazi yako imejisave. Neno la kwanza la heading yako.docx (kama unatumia window 7)
 
nilikuwa naandika kaz microsoft word katka kusave ikaleta option ambayo nikaselect save without knowng nikaja kufungua lile folder ile kaz ya mwanzo yote nayo ikawa imepotea. Je kuna njia ya kuitafuta like file sababu n page nying sana. Naomba mnisaidie.

Mimi nadhani walijitahiidi ukujibu hawajaelwa maelez yako vizuri ebu fafanua vizuri tatizo lako

Ukiliuwa unaandika kazi-
  • je Ulifungua document mpya? ilikuwa ni existing file . Fafanua
Katika kusave ukasalect save.
  • Kuna option zaidi ya moja za kusave kuna save kuna save as. Sasa ipi ulichagua
  • Kama ulisave file ulilosave linaitwaje. Kama lilikuwa file la zamani linaitwaje?. kama ulianza kwa new document na haukuspecify file name mwenyewe basi litakuwa na jina kama defulat name ya Dcument1.doc au document 2.doc ( Sijui unatumia Ms office version gani)
Ukaja kufungua folder ile kazi ya mwanzo nayo yote ikawa imepotea
  • kama kweli ulisave file litakuwepo mahali labda kama unatafuta kitu amabcho hukusave

Je kuna njia ya kuitafuta lile file sababu ni page nying sana. Naomba mnisaidie.

  • kuna option ya kusearch file. unaweza kuweka kwenye kibox cha kusearch *.doc( Hapo utakuwa unatafuta mafile yote ya MS word. Hiyo * maana yake ni All file na .doc ndio extension ya word . Kama ungetaka kutafuta mafie ya excel ingekuwa *.Xls )
  • Zaidi ya hiyo option unaweza kuongeza criteria nyingine searching itafute mafile yote ya Ms word yaliyokuwa changed au modified tarehe fulani kwenye location fulani( Hizo tereh ena location ni wewe unachagua)
NB
Kabla ya kufafanua majibu ya maswali yangu jaribu mapendekezo niliyokupa
 
Back
Top Bottom