Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Habari ndo' hiyo!!!
tehe tehe hawana testi.....mifupa hii si inakuchoma na kuchana mashuka...!!Mbona kama wamekomaa... au macho yangu ndo uzee tena..
Mbona kama wamekomaa... au macho yangu ndo uzee tena..
Siku hizi hawataki warembo wanono, wanataka toned body! Shauri lako!!
Kithwahili please......!
Miili iliyotunishwa misuli! Kwikwikwiii!
....watoto wa fantasy hao,dawa yao moja tuu kuwadanganya!