Mrithi wa Richmond auza mitambo

Muda wote nikifuatilia huu mjadala wa Richmond/Dowans na sasa hawa jamaa wa IPC ndani ya mix, namuelewa vizuri sana John Perkins aliyeandika kitabu cha "Confessions of an Economic Hitman".

Ukiunga dots vizuri unaona hiyo kampuni ya IPC inavery powerful political connections ndani ya UK. Kwa hiyo in hindsight hao waingereza MI-5/MI-6 pamoja na CIA wanatumia mwanya wa ujinga na ulafi wa viongozi wetu kuhakikisha hatutoki kwenye lindi la umaskini. Hivyo basi tutaendelea kuwategemea wao kwa vizazi na vizazi vijavyo.

Mwanzo ni huu ulipaji wa Tsh billioni 185. Pesa hii kama itabaki Tanzania itasaidia kupunguza mortality rate ya watoto wanaozaliwa kwa kiasi gani? surely tutashuka tokea tulipo hivi sasa watoto 69 wanakufa kati ya 1000 wanaozaliwa. Hao kina Makamba, RA,JK, EL pamoja na ndugu zao hawajawahi kupoteza mtoto kutokana na complications ndogo tu ambazo zingeweza kutatuliwa kama kutakuwa na madawa,waganga walio motivated.

Leo hii wabunge kumaliza term ya miaka 5 tu, wengine wanachukua pesa kufikia TSh 100m. Muhimbili National Hospital sidhani kama kuna Daktari bingwa yeyote ambaye ameshawahi kulipwa kiasi kinachozidi milioni 20 katika kipindi hicho. Hii inaonyesha vipaumbele vyetu vipo wapi. Yaani leo hii madaktari hawalipwi hata Risk Allowance ya kufanyia kazi kwenye mazingira magumu (wagonjwa wenye damu zenye virusi nje nje) yaani unaenda kazini inakuwa ni risk ya uhai wako. Unaweza ukarudi nyumbani kwako tayari umepata maambuki ya VVU. Hapo sasa kati ya Wabunge na Madaktari nani ni wa muhimu? Tulivyo na akili mbovu/fupi tunafikiria kukimbilia India, lakini ukipata Heart Attack kwanza utaanzia MNH "Mtakuja National Hospital" pale triage, mpaka utakapo pata nafuu kama utasurvive. Mungu tusaidie!

Nawasilisha.

wananchi wa kawaida wako katika msiba mkuu
 
wezi tunawaona na tunawajuwa usituvuruge. Ni hawa hawa mafisadi wetu walio ndani ya serikali hii hii. Sisi sio wajinga kufukuza vivuli tukawaacha wezi. Juhudi zako za to derail us hazitaweza kuzima moto. Moto unamwakia rais, atueleze hivi vyombo vyote vya ulinzi na usalama chini yake vimeshindwa kumweleza nani wamiliki wa Downs?
Mbona mnatuninginishia samaki chambo, ili tujinase kwenye uongo wenu?H apana tunawajuwa kwamba ni wezi maarufu tena hatari kwa usalama wa Taifa hili maana hata KURA waliiba. Ni hao hao.
HATUDANGANYIKI.
 
i liked your argument kwamba wezi tunawajua na wako hapahapa. Niiunge tu mkono hoja yako kwa swali rahisi. Kama hawa wanyanganyi wa nje wasingeruhusiwa na wapumbavu wa humu ndani wangewezaje pata mwanya wa kutuvuruga akili. Nakumbuka nilisoma kitabu cha mh.walter rodney, sina uhakika kama issue kwa leo inabaki "how europe under develop africa" au how africa under-develop itself. Ukweli ukiongea na watu wanahuzunika, sononeka na wanajua mambo hayaendi lakini hajajitokeza tu wa kusema watanzania tufanye tuingie mtaani
 
tarita,

Lengo langu sio kukudanganya, lakini nilitaka kukuonyesha bigger picture kwani sie hatupo duniani peke yetu. Sisi ni samaki wadogo kwenye bahari yenye manyangumi. Suali la kujiuliza ni kwanini CCM pamoja na kufanya wizi na ufisadi wote, na wizi kwenye uchaguzi lakini usikii US, UK, EU na CHINA wakipiga kelele demokrasia imekuwa raped? Jipo; Wikileaks wamekusaidia kukujibia ni kwamba hizo big powers zinaangalia interest zao tu, na kamwe hawaangalii interests zetu. CCM wametambua hilo muda mrefu kwa hiyo wanawapa hao mabwana wakubwa wanachotaka in return hao jamaa hawawagusi madarakani, wanawaacha wafanye wanavyotaka. Ufisadi ukiwa ndani yake. Hivyo basi na hata kwenye hizo big powers serikali zao zinaundwa na watu kama kina Bush, na hao Lords and formers ministers wa UK governments ambao nao wanatafuta pesa kwa namna yeyote. Kamwe hawaoni shida kula na hawa majambazi wetu hali mradi hawaingiliani. Leo hii SFO na ushahidi wote nani amepelekwa mahakamani?

Anyway naishia hapo. Siku nyingine nakushauri na usome vitabu vya global empirialism and economic sabotage. Ni mpaka hapo hao CCM itakapo wakosea ndio hao mabwana wakubwa watakuja kusupport opposition iingie madarakani. Na tuombe Mungu hao opposition kama hawatanunuliwa kama hao CCM.

Asante na siku njema.
 
Kuna tetesi kuwa mitambo ya Dowans iliuzwa kitambo, na kwamba hao walio inunua wameingia mkataba na TANESCO kuiuzia umeme kwa masharti yale yale yalio zoeleka. Kuna yeyote anayeweza kudhibitisha habari hizo?
 
Independent Power Corporation Limited (Cyprus) on Friday entered into an agreement to acquire 112MW Dowans Tanzania Limited's turbines

Peter Earl, the managing director with subsidiary of IPSA Group PLC anounced the reports about the acquisition of the Dowans turbines

At one time, Tanesco sought to buy the Dowans power plant, but bowed to public pressure and withdrew a controversial and hotly debated plan to purchase the used generators

The Citizen : 02/02/2011

My take :

Would the Cyprus firm generate the 112MW power at the ubungo gas station..? or the mobile gas turbines will be relocated somewhere else..?...and if richmond (to now Dowans Tanzania) contract with Tanesco was unlawful .....? what will be the liabilities (bonds and securities) of the briefcase company if not the turbines itself

hatujapigwa hapa..?
 
LAT yaani sielewei nchi hii ina viongozi wa aina gani, wanauza kisha wanakomaa mahakamani ili walipwe.
 
Hivi hawa mafisadi hawana sehemu nyingine ya 'kuchezea' zaidi ya kwenye umeme??
 
Duh!!! Viazi visivyoiva ndivyo unavyoweza kuwadefine Kwikwete and company
 
Kumbe mitambo ipo?.....sasa hata kama hiyo richmond ilikuwa ni hewa, sasa hiyo mitambo si ndio ingekamatwa?....mi sielewi kabisa yani.
 
gurudumu lile lile linazunguka upande huu litatokea upande wa pili. Halafu Tanesco itaingia mkataba na hiyo kampuni ya Cyprus kununua umeme!
 
gurudumu lile lile linazunguka upande huu litatokea upande wa pili. Halafu Tanesco itaingia mkataba na hiyo kampuni ya Cyprus kununua umeme!

MM ..inawezekana...!!!! kama nilivyo hoji kwenye mada hii.... sipati picha kama hawa jamaa wa Cyprus watanunua mitambo na kuipeleka sehemu au nchi nyingine
 
Independent Power Corporation Limited (Cyprus) on Friday entered into an agreement to acquire 112MW Dowans Tanzania Limited's turbines

Peter Earl, the managing director with subsidiary of IPSA Group PLC anounced the reports about the acquisition of the Dowans turbines

At one time, Tanesco sought to buy the Dowans power plant, but bowed to public pressure and withdrew a controversial and hotly debated plan to purchase the used generators

The Citizen : 02/02/2011

My take :

Would the Cyprus firm generate the 112MW power at the ubungo gas station..? or the mobile gas turbines will be relocated somewhere else..?...and if richmond (to now Dowans Tanzania) contract with Tanesco was unlawful .....? what will be the liabilities (bonds and securities) of the briefcase company if not the turbines itself

hatujapigwa hapa..?

Wamenunua assets na sio kampuni...kwa hiyo Dowans bado ipo with cash but no other assets
 
Tuchukueni maujuzi ya Misri wadau maana naona tunaenda enda tu kama ng'ombe malishoni hata ng'ombe ana nafuu......saaaasa hata sijui nisemeje!!!!!!!
 
Sasa nimechoka na habari za ufisadi bado kidogo nitaanza kuchangia kule kwa wakubwa!
 
Back
Top Bottom