Mrisho Mpoto alaumiwa kwa kumkejeli Padri Kitima Ikulu

Kitima alostahili kudhihakiwa.
1. Anaendeleza mfumo wa wakatoliki kujiona wao ni raia daraja la kwanza.
2. Anaendeleza ushenzi wao wa kuzusha,kukejeli na kumpiga vita raisi yeyote aliyepo madarakani,ilimradi ni muislamu.
3. Kujiona wao wakatoliki wanaelimu na wajuaji kuliko wengine wote. Wakati ukweli wamesonga ila hawakuelimika.

Hayo yote yamepelekea kuwa na kiburi,dharau na majivuno
ile kutaja neno 'muislam' hoja yako nikaitupia motoni iteketee. Una udini mbaya sana. Wale rais yeyote hata kama ni mkatoliki mwenzao wanamlima waraka tu, muachage chuki na kujihisi mnaonewa kwa kuwa ni waislam. Mkatoliki mwenzao magufuli ilikuwa ni suala la muda tu ufike wangemlima waraka kutokana na regime yake
 
Ilo wazo lako kusema ipo siku tutapigana wenyewe kwa wenyewe lishindwe na lilegee. Huna hekima na busara, umejaa udini. Unadhani nchi hii ni ya wakatoliki na waislam pekee? Peleka ujinga wako mbali. Wasio na dini nao hawatakubali upuuzi wenu
 
Msanii asiye na Kipaji , Mrisho Mpoto , amelaumiwa na watu wote kwa kutoa maneno ya kejeli dhidi ya Padri Kitima ambaye pia ni Katibu wa TEC.

Kukejeliwa kwa Padri Kitima kumetokana na kuonekana kwake kwenye hafla ya kusaini mkataba haramu wa Bandari kati ya Tanzania na DP WORLD ya Dubai .

Kauli chafu za Mpagani Mrisho Mpoto alizozitoa hadharani hapo hapo ikulu mbele ya Rais hizi hapa

View attachment 2794949

Ikumbukwe kwamba Kitima aliitwa Ikulu kwa njia ya kitapeli ili kumuingiza mkenge , Mwaliko wake huu hapa .

View attachment 2794950
Bali kitu ambacho Mrisho Mpoto anapaswa kukielewa ni hiki , Mungu hadhihakiwi , leo anatembea Peku ili awafurahishe wanaomlipa , Lakini kesho aweza kutembelea magoti bila kulipwa .
Yuko wapi Masanja mkandamizaji? Hawa Mbwa Huwa hawajifunzi
 
, Mungu hadhihakiwi , leo anatembea Peku ili awafurahishe wanaomlipa , Lakini kesho aweza kutembelea magoti bila kulipwa .
Pengine usichokijua wewe ni kuwa mwenzio (huyo msanii), usanii wake huo umekwisha mpaisha chati kwa watu wanaothamini usanii wa namna hiyo.

Kama bado huelewi ninachoeleza hapa, ngoja nikufafanulie vizuri: huyo mtu (msanii), hadi kupewa 'mike' aseme aliyoyasema, wanaomfuga walishajua umuhimu wa ujumbe wake kwa wakati sahihi ujumbe huo ulipotolewa.

Lakini tukiachana na hili la uwasilishaji ujumbe, bila shaka somo maalum tumelipata sisi sote, na hasa nyinyi kwenye vyama vya siasa tunaotegemea msaada wenu kutuongoza na kusimamia juhudi zetu za kuleta mageuzi.
Somo mahsusi kalitoa Samia, kwa wote ambao bado walikuwa na matumaini angalau kidogo juu yake kwamba hawezi kufanya mambo ya kufedhehesha nchi na yeye mwenyewe.

Hapa katuonyesha wazi kwamba uwezo wote wa kufanya uovu, utapeli, hakuna kinachomshinda huyu mama.

Kwa hiyo, wizi wa kura, na matakatakamengine yote yanayopelekea chaguzi zinazofuata kutokuwa na uhalali, haya ni mambo ya kawaida kabisa ya kuyategemea toka kwa huyu mtu.

Tulisha toa ushauri na njia za kuyakataa yote hayo. Mategemeo yetu ni kuwa hayo yaliyoshauriwa yangekuwa tayari yanafanyiwa kazi wakati huu kungali mapema. Lakini hatuoni kitu!
 
Sehemu ukivunjiwa heshima unatakiwa kusimama na kuondoka muda huohuo haijalishi alie mbele yako ni nani
Sio kweli Huo sio utu uzima Kitime sio mtu wa Kaliba hiyo ameshehena Elimu ya Sheria, Theology, Phylosoohy.Utulivu, ustamilivu wake umemjengea Heshma Mbele ya Umma wa watanzania Ameweza kufuta Kejeli zote dharau na Ameuonyeshea Umma KUWA Alichoitiwa sicho alichokikuta, waswahili wanasema Kubali wito kataa kutumwa. waliomualika na waliandaliwa kumkejeli hawana namna ya kujitetea au hata wakijitetea hawataeleweka
 
Sina ninachowaogopa. Ila nachukia sana tabia zao hizo.
Wakati wa Mwinyi walimwandikia barua 14 za kichungaji kumuonya na kumkosoa. Kila biashara au jengo kubwa wakatudanganya ni Mali ya Mwinyi kupitia mkewe M. Sity.
Wakati wa Mkapa hatukuyasikia hayo. Pamoja na kuuza mashirika ya uma Kwa bei ya kutupa. Rejea machimbo ya makaa ya mawe Kiwira.
Sababu..
Alikuwa mkatoliki mwenzao.

Alipokuja Kikwete yakajirudia. Akaimbwa Ridh-wani. Na chadema wakaicheza ngoma ya wakatoliki. Wakapata sababu ya kutukana waislamu na uislamu. Hadi Leo yule mpuuzi wa chadema anadai anakula kiti moto na mashekh. Hizi ni dharau na kejeli walizorithi kutoka Kwa wakatoliki.
Alipokuja Magu tukaona unafiki wa maaskofu wa kikatoliki. Wakaimba Kila aina ya mapambio ya sifa.

Amekuja Samia wamerudia kutufanya wajinga. Kutaka kuonesha raisi akiwa muislamu hafanyi lolote zaidi ya ufisadi. Watawadanganya kondoo wao. Sio sisi.
Na huu upuuzi haujui tuu ni kiasi gani unaumiza na kujaza hasira vifuani mwetu. Ipo siku tutaheshimiana. Baada ya kupigana wenyewe Kwa wenyewe ndipo mtajua thamani ya amani na ubaya wa upuuzi wa chokochoko kama hizo
Wakati wa JPM mwishoni mwa uhai wake walimlima suala la COVID 19 na ni mkatoliki.
 
Msanii asiye na Kipaji , Mrisho Mpoto , amelaumiwa na watu wote kwa kutoa maneno ya kejeli dhidi ya Padri Kitima ambaye pia ni Katibu wa TEC.

Kukejeliwa kwa Padri Kitima kumetokana na kuonekana kwake kwenye hafla ya kusaini mkataba haramu wa Bandari kati ya Tanzania na DP WORLD ya Dubai .

Kauli chafu za Mpagani Mrisho Mpoto alizozitoa hadharani hapo hapo ikulu mbele ya Rais hizi hapa

View attachment 2794949

Ikumbukwe kwamba Kitima aliitwa Ikulu kwa njia ya kitapeli ili kumuingiza mkenge , Mwaliko wake huu hapa .

View attachment 2794950
Bali kitu ambacho Mrisho Mpoto anapaswa kukielewa ni hiki , Mungu hadhihakiwi , leo anatembea Peku ili awafurahishe wanaomlipa , Lakini kesho aweza kutembelea magoti bila kulipwa .
Mrisho Mpoto ni mpumbavu anayetumia tumbo kufikiri. Halina uzalendo kabisa kwa nchi. Linachoangalia ni maslahi ya lenyewe tu.
 
Tatizo halikuwa kwa Ikulu .ikulu hawalazimiki kutoa details zote za Mwaliko wa Rais.

Kitima anazo source za kutosha za habari za kujua anaalikwa Ikulu kwa shughuli gani? Alikuwa na muda wa kutosha kupata taarifa na kuamua.

Hata Fr Kitima hana kosa kuuzulia hafla hiyo. Maana ukipinga jambo na ukaalikwa kwenye jambo hilohilo sio dhambi. Maana yake wanathamini mchango wako.

Fr kuhudhulia ni sahihi kabisa Maana kwanza anatii Mamlaka na pia kuona ni kipi kimeendelea baada ya Kanisa kupinga IGA hadharani.

Tatizo kubwa la Fr Kitima na Kanisa katoliki ni kupinga IGA kabla hawajapata taarifa na ufafanuzi wa kutosha , kwa lugha nyepesi walilishwa matango pori. Maana IGA haikuwa na changamoto hizo walizozipinga.

Tatizo kubwa kwenye hafla ile ni kutumika kwa Wasanii Uchwara kama Mrisho Mpoto kuzodoa watu walionekana kuwa na mtazao tofauti na IGA, kwamba ni wanafiki na wamekuja kula Pilau.

Kuhusu Unafiki Mrisho yupo sahihi lakini haikutakiwa kusemwa hadharani ili kulinda heshima ya waalkwa.
Ushauri.

Ni vyema Serikali ikaacha kusaini mikataba kama vile sherehe za harusi kwa mapambio, Disco na Taarabu za kina mpoto.

Hakukua na sababu yeyote ya kusaini mkataba kwa sherehe hadharani.

kuna mfumo wa kusaini mikataba wa kiserikali , ni vyema ukaendelea kutumika.

Tupunguze taarabu kwenye mambo muhimu y serikal
 
Msanii asiye na Kipaji , Mrisho Mpoto , amelaumiwa na watu wote kwa kutoa maneno ya kejeli dhidi ya Padri Kitima ambaye pia ni Katibu wa TEC.

Kukejeliwa kwa Padri Kitima kumetokana na kuonekana kwake kwenye hafla ya kusaini mkataba haramu wa Bandari kati ya Tanzania na DP WORLD ya Dubai .

Kauli chafu za Mpagani Mrisho Mpoto alizozitoa hadharani hapo hapo ikulu mbele ya Rais hizi hapa

View attachment 2794949

Ikumbukwe kwamba Kitima aliitwa Ikulu kwa njia ya kitapeli ili kumuingiza mkenge , Mwaliko wake huu hapa .

View attachment 2794950
Bali kitu ambacho Mrisho Mpoto anapaswa kukielewa ni hiki , Mungu hadhihakiwi , leo anatembea Peku ili awafurahishe wanaomlipa , Lakini kesho aweza kutembelea magoti bila kulipwa .
Bali kitu ambacho Mrisho Mpoto anapaswa kukielewa ni hiki , Mungu hadhihakiwi , leo anatembea Peku ili awafurahishe wanaomlipa , Lakini kesho aweza kutembelea magoti bila kulipwa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Padiri Kitima naamini anaishi Dar, sasa lazima alipata mwaliko mapema, halafu kasafiri from Dar to Dodoma kwa ndege saa moja hivi na kwa gari ni kama Km 470 bado hajui anaitiwa nini? Labda yeye ndo alishauri mwaliko uwe hivo ili TEC iendelee kuheshimiwa na kutoonekana walibugi kiharakati?
HAKUKUWA NA MADHARA TEC KUKUBALI MWALIKO WA IKULU USIOKUWA NA AGENDA!

Mwaliko huu kuvuja mitandaoni ni sehemu ya ritorikia ya Kanisa kuhusu kilichojiri Dodoma. Kanisa pia linao wataalamu wa apologetics (apologia) na hivyo Rev. Fr. Kitima anajua hili. Lakini kwa wanaojua geopolitical position ya Kanisa Katoliki kwa Tanzania wataelewa kuwa hata agenda zingetangazwa kwa baragumu au ingangabwite, bado haikuwa katika utashi wa kimaadili kwa Katibu Mkuu wa TEC kutoshiriki. Kwa kuwa Waraka wa TEC bado unasimama, si hoja ya maana kujadili uwepo wa TEC Dodoma!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 27 Oktoba 2023; 12:50 jioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ile kutaja neno 'muislam' hoja yako nikaitupia motoni iteketee. Una udini mbaya sana. Wale rais yeyote hata kama ni mkatoliki mwenzao wanamlima waraka tu, muachage chuki na kujihisi mnaonewa kwa kuwa ni waislam. Mkatoliki mwenzao magufuli ilikuwa ni suala la muda tu ufike wangemlima waraka kutokana na regime yake
Hujui kitu.
Bora ufiche ujinga wako. Ili ujue wale ni wabaguzi na kujiona ni daraja la kwanza,subiri itokee atawale raisi mkiristo lakini awe mlutheri(ngumu kutokea) utajiunga na sisi tunaowekwa daraja la pili.
 
Back
Top Bottom