Mrembo huyu unamuonaje?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
[h=3][/h]

554468_387375901314569_100001264865463_1224629_385008229_n.jpg

Picha kwa hisani na Mbele Blog.
Tukubaliane Bi Mkubwa huyu ni mnene. Sijui kama anaweza kupata kivazi cha chini mtaa wa Congo. Hata hivyo bado anapendeza na usishangae watu wakapigana vikumbo kuwania waoe. Mwanamke nyama walisema waswahili lakini nyama nazo zikizidi mh! Picha hii imenivutia kiasi cha kuona niiweke hapa angalau wageni mjadili kama mkitaka au hata kujionea.
 
kitu ya kupanda na ngazi , tool box mkononi , lipo poa lakini , ingawa sample kama sio type yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom