Mrejesho wa yule jirani

tecknologia23

JF-Expert Member
Jan 16, 2023
259
375
Mliniambia huyu jirani hanitaki oh najikomba Jana kaja basi katoa namba mwenyewe nakujitambulisha . Mie naitwa jj naomba kampani Yako nilikuwa sijaweza kukuongelesha Kwa sababu sijakuzoea mie nimeamua kujilipua tu nakupenda .

Japo nimeona ila mke yupo mbali ila naomba kampani Yako . Please nakupenda usininyime mwenzio nimekufa vya kutosha .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom